Kuanza kutumia SBA ni rahisi. Tafadhali andikisha taarifa zako, weka pesa na unaweza anza kuweka Bet moja kwa moja.
Kumbuka ni lazima uwe mwenye umri wa zaidi ya miaka 25 ili kuweka bet nasi.

Bofya kwenye ‘sajili’ na ujaze kwenye fomu ya usajili habari zako za kibinafsi Pindi tu unapowasilisha, utapokea barua pepe ya makaribisho.

Baada ya akaunti yako kuwekwa pesa, fanya uteuzi wako na utaonyeshwa kwenye betslip.

Chagua aina ya bet kutoka miongoni mwa moja, jumlishi,au mfumo wa chaguo mbalimbali, weka kiasi chako na ubonyeze WEKA.
Bonasi yoyote iliyopo kwa bet yako itatokeza.

Bofya WEKA Kwa mara ya pili na utume bet yako.

Ingia kwa akaunti yako, bofya kwenye WEKA PESA, ingiza kiasi cha pesa unachotaka kuweka na uchague njia unayopendelea ya malipo.

 

Kwa sasa tuna namna tatu za kuweka pesa kwenye akaunti yako; Vocha, MTN Money na Orange Mobile Money.

Kwanza, unahitaji kununua vocha yako ya SBA kutoka kwa mojawapo ya maajenti wetu wa SBA. Unaweza ukawapata katika mojawapo ya maduka yetu au mtaani. Una siku 30 kuweka vocha yako kwa mujibu wa uhalali wa tarehe kwenye tikiti.

 

 

 • Ili kuiweka, ingia kwenye akaunti yako ya SBA bonyeza kwenye WEKA PESA, weka kiasi cha pesa na ubonyeze kwenye kitengo cha vocha.
 • Utapokezwa bonus yoyote inayoendelea ambayo umefuzu kupata. Utahitajika kubonyeza ili kukubali bonus yoyote inayoendelea ambayo ungetaka kushiriki
 • Bofya endelea kwenye malipo
 • Unaweza kuweka namba ya vocha yako ya SBA na ubofye WASILISHA

 

Namba ya vocha yako ikifaulu kuthibitishwa, pesa zitawekwa kwenye akaunti yako na unaweza kuweka bet papo hapo.

Ili kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia MTN mobile money, tafadhali fuata maagizo yaliyo hapa chini:

 

 • Ingia kwenye akaunti yako ya SBA
 • Bonyeza WEKA PESA, weka kiasi cha pesa na ubofyee kwenye kitengo cha Mobile Money
 • Utaonyeshwa bonus zozote zinazoendelea ambazo umefuzu na unahitajika kubonyeza ili kukubali bonasi zozote zinazoendelea ambazo ungependa kushiriki
 • Bofya endelea kwa malipo
 • Iwapo umeongeza nambari ya simu/akaunti yako ya MTN kwenye mchakato wa usajili, nambari yako ya simu itaonyeshwa kwenye uga wa Nambari za Simu. Vinginevyo, unaweza kuweka nambari yako ya simu kwenye kitengo cha Simu Mpya na kubofya WASILISHA

 

Kutakuwa na hatua ya kuthibitisha usalama wa nambari yako ya simu ya MTN katika mandharinyuma. Iwapo hii itafaulu, pesa zitawekwa kwenye akaunti na unaweza kuweka bet papo hapo

Kuweka pesa kwa akaunti yako kupitia kwa Airtel Mobile Money, tafadhali fuata maagizo yaliyo hapa chini:

 

 • Ingia kwenye akaunti yako ya SBA.
 • Bofya WEKA, weka kiasi cha pesa na ubonyeze kwenye chaguo la AIRTEL Mobile Money.
 • Utaonyeshwa bonasi zozote zilizopo ambazo umefuzu na unahitajika kubonyeza ili kukubali bonus yoyote iliyopo ambayo ungependa kushiriki.
 • Bofya kwenye ENDELEA NA MALIPO.
 • Iwapo umeongeza nambari ya simu/akaunti yako ya Airtel kwenye mchakato wa usajili, nambari yako ya simu itaonyeshwa kwenye uga wa Nambari za Simu. Vinginevyo, unaweza kuweka nambari yako ya simu kwenye kitengo cha Simu Mpya na ubofye WASILISHA.

 

Kutakuwa na hatua ya kuthibitisha usalama wa nambari yako ya simu Airtel Money. Iwapo hii itafaulu, pesa zitawekwa kwenye akaunti yako na unaweza kuweka bet papo hapo.

Kuweka pesa kwa akaunti yako kupitia kwa Africell Mobile Money, tafadhali fuata maagizo yaliyo hapa chini:

 

 • Ingia kwenye akaunti yako ya SBA.
 • Bofya WEKA PESA, weka kiasi cha pesa na ubofye kwenye kitengo cha Africell Mobile Money.
 • Utaonyeshwa bonasi zozote zilizopo ambazo umefuzu na unahitajika kubonyeza kukubali bonasi zozote zilizopo ambazo ungependa kushiriki.
 • Bofya kwenye ENDELEA KWA MALIPO.
 • Ikiwa uliongeza nambari yako ya Africell/Akaunti kwenye mchakato wa kusajili, nambari yako itajitokeza kwenye uga wa Nambari za Simu. Vinginevyo, unaweza kuweka nambari yako ya simu kwenye kitengo cha Simu Mpya na ubofye WASILISHA.

 

Utaelekezwa kufuata maagizo kwenye nambari yako ya simu ili kukamilisha muamala.

Ingia kwenye akaunti yako, bofya kwa TOA, weka kiasi cha pesa unazotaka kutoa na uteue Akaunti ya Malipo unayorejelea kwa kutumia menyu.

 

Kwa sasa, tuna njia mbili za kutoa pesa, Vocha na MTN Mobile Money.

 

Baada ya kutuma ombi la kutoa pesa, tutashughulikia ombi hili haraka iwezekanavyo. Tafadhali zingatia kuwa unapaswa kutoa kiasi ulichoweka kupitia kwa kila njia, kwa mfano: Ukiweka 1000 XAF kupitia kwa Vocha, utahitajika kutoa 1000 XAF kupitia kwa Vocha kabla ya kupewa chaguo la kutoa kupitia MTN Mobile Money.

 

Ingia kwa akaunti yako ya SBA, bonyeza TOA, weka kiasi cha pesa unazotaka kutoa na uchague vocha kutoka kwa akaunti ya malipo kwenye menyu.   Bofya kwenye Toa Ombi lako la kutoa pesa litashughulikiwa moja kwa moja. Nambari yako ya siri ya vocha yaweza kupatikana kwenye sehemu ya Kunihusu/ukurasa wa kifedha. Utahitaji kuonyesha nambari ya siri ya vocha kwenye mojawapo ya mawakala wetu wa SBA/maduka yetu ili kupokea pesa.   Pindi tu nambari ya siri vocha imetolewa, ni sharti itumike ndani ya siku 7, hutaweza kupata pesa zako baada ya siku saba kukamilika. Ikiwa hujaweka pesa zako kupitia kwa vocha, utalazimika kutoa pesa ulizoweka kupitia kwa MTN Mobile Money kwanza, kabla ya huduma hii kutolewa.

Ingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet, bofya TOA, weka kiasi cha pesa unazotaka kutoa na uchague MTN kutoka kwenye akaunti ya malipo kwenye menyu

 

Bofya kwenye Toa

 

Ombi lako la kutoa pesa litashughulikiwa moja kwa moja na utaweza kuona ukamilifu wa shughuli kupitia kwenye sehemu ya Kunihusu/ukurasa wa kifedha

 

Tafadhali zingatia kwamba ikiwa hujaweka pesa kupitia MTN Mobile Money, utalazimika kutoa pesa ulizoweka kupitia kwa Vocha kwanza kabla ya huduma hii kutolewa

Ili kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia MTN mobile money, tafadhali fuata maagizo yaliyo hapa chini:
 • Nyiga *272#
 • Ogende ewali “Betting” (option 7)
 • Londako Sports Betting Africa
 • Yingizamu omuwendo gwoyagala ( ogusokebwako 500 UGX; ogusembayo 3500000 UGX)
 • Tekamu piini yo eya mobile money okukasa tulazakisooni yo
 • Tulazakisooni yo bweba eyisemu, sente zinjakugenda kwa’ akawuunta mu ddakika biiri zzoka

Ingia kwenye akaunti yako ya Premier Bet, bofya TOA, weka kiasi cha pesa unazotaka kutoa na ubofye kwenye Airtel Mobile Money kutoka kwenye akaunti ya malipo kwenye menyu.

 

Bofya kwenye WASILISHA.

 

Ombi lako la kutoa pesa litashughulikiwa moja kwa moja na utaweza kuona ukamilifu wa shughuli kupitia kwenye sehemu ya Kunihusu/ukurasa wa kifedha.

 

Tafadhali zingatia kwamba ikiwa hujaweka pesa kupitia kwa Airtel Mobile Money, utalazimika kutoa pesa ulizoweka kupitia kwa Vocha, MTN au Africell kabla ya huduma hii kutolewa.

 

Ingia kwa akaunti yako ya SBA, bonyeza kwa TOA, weka kiasi cha pesa unazotaka kutoa na ubofye kwenye Africell Mobile Money kutoka kwa akaunti ya malipo kwenye menyu.

 

Bofya kwenye WASILISHA.

 

Ombi lako la kutoa pesa litashughulikiwa moja kwa moja na utaweza kuona ukamilifu wa shughuli kupitia kwenye sehemu ya Kunihusu/ukurasa wa kifedha.

 

Tafadhali zingatia kwamba ikiwa hujaweka pesa kupitia kwa Africell Mobile Money, utalazimika kutoa pesa ulizoweka kupitia kwa Vocha, MTN au Airtel kabla ya huduma hii kutolewa.

Ombi la kutoa pesa linaweza kukataliwa iwapo sheria na masharti yetu hayatimizwi. Tafadhali hakikisha umetimiza vigezo vifuatavyo:  
 • Weka ombi moja tu la kutoa pesa za kiwango kamili kinachoruhusiwa.
 • Masharti ya bonasi yametimizwa: Unafaa kukamilisha mahitaji ya bonasi ulizopewa kabla ya kuruhusiwa kutoa pesa
 • Kutofautiana kwa mbinu ya Kuweka/Kutoa pesa: Tafadhali tumia mbinu ya kutoa pesa sawa na ile uliyoitumia kuweka
 • Hukuweka bet yoyote kwa kutumia pesa ulizoweka kwa akaunti yako: Sisi siyo benki na asilimia 100 ya pesa zote zinazowekwa kwenye akaunti lazima zitumike
  Akaunti za wateja wanaopuuza masharti yetu mara kwa mara zitafungwa, mteja atapoteza pesa zilizosalia kwenye akaunti na huenda akapata adhabu zaidi
Voucha
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazowekwa 500 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 5000,000 UGX
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazotolewa 5,000 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 20,000,000 UGX

MTN
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazowekwa 500 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 5,000,000 UGX
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazotolewa 5,000 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 5,000,000 UGX

MTN (USSD)
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazowekwa 500 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 3,500,000 UGX
Airtel
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazowekwa 500 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 4,000,000 UGX
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazotolewa 5,000 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 4,000,000 UGX

Africel
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazowekwa 500 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 2,000,000 UGX
Kiwango cha chini zaidi cha pesa zinazotolewa 500 UGX na kiwango cha juu zaidi ni 2,000,000 UGX

Pesa unazoweka kwenye bet
Kiwango cha chini zaidi cha kuwekea bet ni 500 UGX na
Kiwango cha juu ni 3,500,000 UGX

Pato la ushindi wowote litawekwa moja kwa moja kwenye akaunti yako mtandaoni pindi tu mchezo unapokamilika

Kiwango cha juu zaidi kwa kila mchezo ni 350,000,000 UGX

Iwapo mechi itafutiliwa mbali, bet zote zitabatilishwa na pesa zilizowekewa zitarudishwa kwa akaunti yako.

 

Mechi inayoairishwa ni batili ila tu inapopangiwa kuchezwa ndani ya masaa 24 ya muda wa awali wa kuanza kwa mchezo husika, na hii inafaa kuthibitishwa ndani ya masaa 12 ya muda ulioratibiwa kuanza kwa mchezo hapo awali.

 

Ikiwa mechi iliyobatilishwa ni miongoni mwa nyingine jumlishi (multibet), bet itaamuliwa kutokana na uteuzi mwingine halali uliosalia.

Unaweza kuona historia ya bet kama ifuatavyo.

Rununu
Chaguo la bets yako linaweza kupatikana chini ya skrini

Tarakilishi
Chaguo la historia linaweza kupatikna kwenye betslip upande wa kuume wa ukurasa. Chagua tarehe na bofya maalum ili uone maelezo ya michezo yaliyochaguliwa.

Iwapo umesahau jina au nywila yako. Bofya kwenye the Ingia kwenye sehemu ya juu mkono wa kulia wa ukurasa.

 

Weka anwani ya barua pepe iliyosajiliwa ulipofungua akaunti yako na ubonyeze WEKA UPYA NYWILA. Utapokea barua pepe yenye URL ya kupanga upya nywila yako kutoka kwetu muda mfupi baadaye. Bofya kwenye URL ya kupanga upya nywila yako na ufuate maagizo kwenye skrini ili kupanga upya nywila yako.

 

Ikiwa unahitaji kubadilisha nywila yako, unaweza kufanya hivyo ndani ya akaunti yako > ukurasa wa taarifa za kibinafsi pindi tu unapoingia mtandaoni.

1 inaashiria timu ya nyumbani kushinda au timu ya kwanza kwenye orodha
X inaashiria sare
2 inaashiria timu ya ugenini au timu ya pili kwenye orodha

unaweza kupata sheria nyinginezo za kuweka bet kwa kubonyeza hapa

Bet jumlishi ni bet ambayo inajumuisha chaguzi mbili au zaidi ambazo zitahitaji ushindi ili kukupa faida. Unaweza kuchagua hadi michezo 40 kwenye betslip yako.

IIli kupata 100% bonasiya kuweka pesa kwa akaunti, unahitaji kutimiza masharti yaliyoorodheshwa kwenye kichupo cha sheria na masharti

Unapoweka bet, pesa hutolewa kwanza kutoka kwa kifuko cha ‘Zinazoweza kutolewa’ ikifuatiwa na kifuko cha ‘Bonasi’

 

Mfano:

Kifuko cha zinazoweza kutolewa = 4,000 UGX

Kifuko cha Bonasi = 4,000 UGX

 

Unaweka bet ya 7,000 UGX kwa odds za 2.0

4,000 UGX itatolewa kwa kifuko cha "Zinazoweza kutolewa"

3,000 kutoka kwa kifuko cha "Bonasi”

 

Ikiwa bet yako itashinda, odds zitazidishwa kiasi cha pesa ulizotumia katika kila upande kwa utaratibu uo huo.

4,000 UGX x 2 itawekwa kwenye kifuko chako cha "zinazoweza kutolewa"

3,000 UGX x 2 itawekwa kwenye kifuko chako cha "bonasi”

 

baki yako kwa mujibu wa hali ilivyo hapo juu itakuwa 15,000 UGX

8,000 UGX kwenye kifuko chako cha "Zinazoweza kutolewa"

7,000 UGX kwenye kifuko chako cha "Bonasi" (6,000 ulizoshinda + 1,000 ambazo hukutumia kwenye bet ya awali)

 

Mahitaji ya kucheza yanaweza kutazamwa wakati wowote kutoka kwenye akaunti, kichupo cha "Bonasi". Pindi tu mahitaji ya kucheza yanapokamilika, bonus itatolewa Ikiwa bado una bets ambazo hazijakamilika, bonus uliyopata itaelekezwa kwenye sehemu ya "Kufunguaing" Pindi tu bets hizi zitakapokamilishwa, pesa zitaweza kutolewa

Kuna njia mbili za kutumia WhatsApp kwenye tarakilishi:   Wavuti wa WhatsApp
 • Sakinisha kivinajri cha wavuti cha Google Chrome kwenye tarakilishi yako.
 • Nenda kwenye programuya WhatsApp kwa simu, kisha ingia kwa mipangilio ambapo utapata kitanzi cha WhatsApp kwa wavuti. Ibofye na utaelekezwa kufungua web.whatsapp.com kutoka kwenye kivinjari chaa Google Chrome kwenye tarakilishi yako.
 • Rudufisha msimbo wa QR kwenye skrini ya tarakilishi yako kwa kutumia kamera ya simu yako, kwa kuhakikisha kipo ndani ya kisanduku kwenye kamera. Baada ya kukamilisha hayo, unafaa kufungua mazungumzo yaliyomo na itajumuisha nambari zote za simu ulizo nazo kwenye simu yako
    Programu ya WhatsApp
 • Pakua programu ya WhatsApp Desktop kwenye https://www.whatsapp.com/download/ Simika jalada lenyewe baada ya kupakua
 • Ili kuendesha programu ya Eneo kazi la WhatsApp, kwanza unahitaji kurudufisha msimbo wa QR kwa kutumia smartphone.
 • Fungua WhatsApp kwenye simu yako--> Menyu--> wavuti wa WhatsApp Rudufishamsimbo wa QR kwenye tarakilishi kwa kutumia simu ili kuunganisha.
 • Pindi msimbo wa QR unavyorudufishwa, utaingia kwenye programu yako ya Eneo kazi la WhatsApp. Inafanana na programu kwenye smartphone yako iliyo na sifa sawa. Unaweza kufanya chochote kama unavyofanya kwenye Smartphone yako.