SBA ni kampuni inayoongoza  katika betting na burudani inayowapa wananchi wa Uganda  nafasi ya kushiriki katika michezo na kujishindia zawadi za pesa taslimu.

Biashara yetu inakua kwa kasi,  ina maono na kila mara tunafanya juhudi za kupanua mauzo yetu pamoja na maduka ya betting.

Wachuuzi wetu hupokea mgao wa faida kwa kila tikiti ya SBA wanayouza na pia hupewa  mafunzo kamili, vituo vya kuuzia na vifaa vya  utendakazi wa kila siku bila malipo yoyote.  Iwapo una ari  ya kujiandikisha  kama mmoja wa wachuuzi  wa SBA, wasilaiana  nasi kwa kutembelea makao yetu makuu Uganda, Aponye House Plot B , Burton Street , Kampala , Po Box 37 599.